Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Kapteni Hamad Bakar Hamad, (wa nne kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Sakafu ya Bahari Kuu ya Kimataifa (ISA), Leticia Carvalho (wa tano kushoto) na Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Dk. Suleiman Haji Suleimani baada ya kikao kilichobeba ujumbe wa ‘From Needs to Action’ jijini Kingston, Jamaica mwishoi mwa wiki. Watatu kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa
Bahari Kuu, Dk. Emmanuel Sweke.
