News and Events Change View → Listing

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango amekutana kwa mazungumzo ya faragha (Tete a tete ) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres katika Ofisi za…

Read More

DKT. MPANGO KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA UNGA77

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika…

Read More

Mhe. Doroth Gwajima - Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum akihudhuria Mkutano wa 66 wa Hali ya Wanawake Duniani .

Mhe. Doroth Gwajima - Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum aongoza ujumbe wa Washiriki kutoka Tanzania kwenye Mkutano wa 66 wa Hali ya Wanawake Duniani (Commission for the Status of…

Read More