Recent News and Updates
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango amekutana kwa mazungumzo ya faragha (Tete a tete ) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres katika Ofisi za Umoja wa Mataifa jijini… Read More
DKT. MPANGO KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA UNGA77
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 77 wa… Read More