News and Resources Change View → Listing

Dkt. Tulia atembelea Ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, New York

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 8 Februari, 2024 ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani zilizopo…

Read More

Mhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho

Mhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa…

Read More

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango amekutana kwa mazungumzo ya faragha (Tete a tete ) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres katika Ofisi za…

Read More

DKT. MPANGO KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA UNGA77

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika…

Read More

TANZANIA ROYAL TOUR

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Read More