Mhe. Balozi Togolani Mavura atembelea Ubalozi wa Tanzania , Washngton, DC.
Mhe. Balozi Togolani Mavura, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa na Mhe. Balozi Elsie Kanza, Balozi wa Tanzania Marekani wakifurahia jambo, pale Balozi Togolani alipotembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuanza kazi rasmi.