Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Balozi Togolani Mavura, akisaini kitabu cha maombolezo kwenye ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Angola Jijini New York, Kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo, Hayati Manuel Domingos Augusto aliyefariki dunia tarehe 5/6/2026.
