Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali ateuliwa kuwa mwakilishi maalumu wa AU Sudan ya Kusini
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosanzana Dlamini Zuma, amemteua, Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ),kuwa Mwakilishi Maalum na Mkuu wa Ofisi ya…
Read More





