Recent News and Updates

Kaimu Balozi Dk. Suleiman Haji katika Kikao kilichobeba ujumbe wa “From Needs to Action’ jijini Kingston

Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Kapteni Hamad Bakar Hamad, (wa nne kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Sakafu ya Bahari Kuu ya Kimataifa (ISA), Leticia Carvalho (wa tano kushoto)… Read More

Mkutano baina ya Mhe. Balozi Dr. Suleiman Haji Suleiman na Mhe. Balozi Abbas Kadhom

Mkutano baina ya Mhe. Balozi Dr Suleiman Haji Suleiman Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Mhe.Balozi Abbas Kadhom Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Iraq katika Umoja wa Mataifa New York wamekutana na… Read More

Mhe. Balozi Suleiman H. Suleiman akabidhi Mkataba wa Zama Zijazo kwa Rais wa UN

Mhe. Balozi Suleiman H. Suleiman akabidhi Mkataba wa Zama Zijazo kwa Rais wa UN

Mhe. Balozi Suleiman H. Suleiman, Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa New York, leo tarehe 17 Julai 2025 amekabidhi kwa Mhe. Philemon Yang, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa tafsiri kwa lugha ya… Read More

SUMMIT OF THE FUTURE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa New York… Read More

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ampongeza Rais Samia kusimamia ulinzi na usalama

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutierres kwenye Makuu ya umoja huo na kujadiliana masuala kadhaa yakiwemo ya maendeleo ya jamii, ulinzi na usalama, siasa na ushirikiano wa… Read More