Hata hapa Umoja wa Mataifa, mabalozi wengi wanazungumza Kiswahili- Profesa Kennedy Gastorn
Lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha ya kwanza ya kiafrika inayozungumzwa na watu wengi zaidi barani Afrika, ikiendelea kupokelewa na kutumiwa katika vyombo mbalimbali vya maamuzi kama vile kufanywa miongoni mwa…
Read More





