News and Resources Change View → Listing

Statement by Ambassador Ramadhan Mwinyi on Culture of Peace

Mr. President,My delegation welcomes the opportunity to participate in today’s debate on a very important subject of peace – fostering a culture of peace.We see today’s meeting as an opportunity to…

Read More

Azimio kuhusu watu wenye ualibino lapitishwa kwa kauli moja

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewashukuru wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kupitisha kwa kauli moja Azimio linalotaka pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa…

Read More

Tanzania yataka mashirika ya Umoja wa Mataifa kutekeleza kwa vitendo dhana ya uwazi na uwajibikaji

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetoa wito kwa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, ikiwamo Baraza la Haki za Binadamu kuitekeleza kwa vitendo dhana ya uwazi na uwajibikaji.Tanzania imesisitiza pia kwamba,…

Read More

Rushwa Umoja wa Mataifa haitavumiliwa – Ban Ki Moon

Tuhuma za rushwa zinazoambatana ukwepaji kodi zinazomkabili aliyekuwa Rais wa Baraza Kuu la 68 la Umoja wa Mataifa, Bw. John Ashe , siyo tu , zimeitingisha Moja ya Taasisi Kubwa duniani katika nyanja ya…

Read More

Baraza kuu la usalama la Umoja wa Mataifa laijadili Burundi

Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali hali ya kuendelea kwa matukio ya mauaji, utesaji na vitendo vingine vya vinavyokiuka haki za binadamu nchini Burundi.Pamoja na kukemea hali hiyo,…

Read More

Marekebisho baraza kuu la usalama yataongeza tija – Tanzania

Tanzania imekaribisha juhudi zinazochuliwa na Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa za kuboresha uwazi na utendaji wenye tija wa chombo hicho juhudi ambazo pia zinahusisha mijadala ya wazi.Hayo yameelezwa…

Read More

Michezo huleta amani, upendo na kuheshimiana -Tanzania

Imeelezwa kwamba michezo ya aina yoyote ile kuanzia mpira wa miguu hadi mchezo wa bao, ikutumiwa vema na kwa uzito unaostahili ni moja ya eneo ambalo linaweza kuchangia katika siyo tu kuchochea kasi ya…

Read More

Tanzania na Malawi za wasilisha rasimu ya azimio kuhusu watu wenye ualbino

Kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili watu wenye ualibino, Wakilishi za Kudumu za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi katika Umoja wa Matifa, zimewasilisha rasimu ya azimo kuhusu…

Read More