News and Resources Change View → Listing

Watoto bado wanaendelea kudhulumiwa utoto wao- Umoja wa Mataifa

Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakijadili haki za mtoto. Tatizo la haki za mtoto lipo sehemu mbalimbali duniani. Umoja wa Mataifa umedhamiria kupinga matumizi mabaya ya watoto kama vile…

Read More

Baraza Kuu la Usalama lajadili nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa amani na usalama

Kwa siku nzima ya jumanne, Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, lilikutana kwa majadiliano kuhusu nafasi ya ushiriki wa mwanamke katika masuala ya Amani na Usalama, kwa mujibu wa Azimio maarufu namba…

Read More

Kamisheni ya haki za binadamu kushirikiana na serikali katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watu wenye ualibino

Siku moja baada ya Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kuelezea kwa waandishi wa habari juhudi zinazofanywa na serikali dhidi uovu wanaofanyiwa watu wenye ualibio.Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa…

Read More

AMBASSADOR TUVAKO N. MANONGI, ON AGENDA ITEM 122 ON STRENGTHENING OF THE UNITED NATIONS SYSTEMS, NEW YORK, 12th October, 2015

Mr. President, The United Republic of Tanzania aligns itself with the statements of the African Group and the Non-Aligned Movement. We also join in welcoming the report of the Secretary – General on the…

Read More

Tanzania calls for a stronger relationship between Un and regional and sub-regional organization

The General Assembly of the United Nations, met on Monday to discuss among other issues, the agenda item strengthening of the United Nations system, for which it had before it a report of the Secretary-General…

Read More

Mhe. Pindi Chana amkabidhi Raisi wa Baraza Kuu la Un tamko la kutokomeza ndoa za utotoni

Mtandao wa Kimataifa wa Wabunge kutoka Mabunge mbalimbali Duniani (PGA), umemkabidhi Rais wa Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mataifa Bw. Mogens Lykketoft, tamko la kukomesha ndoa za utotoni na za kulazimishwa kwa…

Read More

Marais wa mahakama za kimataifa za mauaji ya kimbari wampongea Mh. Raisi Jakaya Kikwete, Tanzania kwa ushirikiano

Wakati majukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ( ICTR) yakifikia ukingoni mwishoni mwa mwaka huu, hatima ya wafungwa waliomaliza vifungo vyao na wale walioachiwa huru bado…

Read More

Tunajitahidi kutekeleza sera na mipango ya maendeleo jumuishi -Tanzania

Ikiwa ni Wiki moja kupita tangu Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Dunia, kuhitimisha ushiriki wao katika mikutano muhimu mikuu miwili, upitishwaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo…

Read More