News and Resources Change View → Listing

TANZANIA YAUNGA MKONO MAAZIMIO YA UN KUTAFUTA AMANI YA KUDUMU MASHARIKI YA KATI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza kuunga mkono kikamilifu maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) na jitihada za kimataifa zinazolenga kuleta amani ya kudumu katika…

Read More

SUMMIT OF THE FUTURE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa…

Read More

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ampongeza Rais Samia kusimamia ulinzi na usalama

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutierres kwenye Makuu ya umoja huo na kujadiliana masuala kadhaa yakiwemo ya maendeleo ya jamii, ulinzi na usalama, siasa na…

Read More

Mhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho

Mhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa…

Read More