• Mhe. Balozi Togolani Mavura, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi za Umoja huo Jijini New York muda mchache baada ya kuwasili.