Mhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (kushoto) katika hafla iliyofanyika tarehe 17 Aprili, 2023 Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekani