Mhe. Doroth Gwajima - Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum aongoza ujumbe wa Washiriki kutoka Tanzania kwenye Mkutano wa 66 wa Hali ya Wanawake Duniani (Commission for the Status of Women).