News and Events Change View → Listing

Tanzania na Mwakilishi wake katika UN wateuliwa kuongoza majukumu katika ECOSOC

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa la masuala ya Kiuchumi na Kijamii, ECOSOC, Collen Vixen Kelapile ameiteua nchi ya Tanzania kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Jukwaa la Saba la Wadau Mbalimbali wa masuala ya…

Read More

Tanzania yaahidi Kuiunga Mkono Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Tanzania kuendelea kuiunga mkono Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu na watu katika kuhakikisha utoaji haki kwa wananchi unatekelezeka kwa wakati, uwazi na uadilifu.Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya…

Read More

President Samia, Addresses Leader’s Summit on Climate Change

Your Excellency President of COP 26;Excellencies;Ladies and Gentlemen;It is with great pleasure and honour I take this podium to address the scourge of our time – climate changeClimate change and its…

Read More

Tanzania kuendelea kuwa ‘muumini’ wa ushirikiano wa kimataifa- Rais Samia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amehutubia mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo kwenye makao makuu ya umoja huo jijini New York, Marekani ikiwa ni mara ya kwanza tangu ashike wadhifa huo…

Read More

UN kusaidia Tanzania kufanikisha Ajenda 2030

Mara baada ya kuhutubia mjadala mkuu wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA76 jijini New York, Marekani, Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alikuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa…

Read More

President Samia Suluhu Hassan Leaves for New York to Address 76th Session of UN General Assembly

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is scheduled to leave the country on Saturday for New York in the USA, where she will address the 76th session of the UN General Assembly (UNGA 76).A press statement issued by the…

Read More

Tanzania yachaguliwa Makamu wa Rais UNGA76 na mjumbe wa ECOSOC

Tanzania imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA utakaoanza tarehe mosi mwezi Septemba mwaka huu.Kwa mujibu wa Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa…

Read More