H.E. Ambassador Togolani Mavura presents his Letters of Credence to the Secretary General of the United Nations.
Read More
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza kuunga mkono kikamilifu maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) na jitihada za kimataifa zinazolenga kuleta amani ya kudumu katika…
Read MoreWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa…
Read MoreWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutierres kwenye Makuu ya umoja huo na kujadiliana masuala kadhaa yakiwemo ya maendeleo ya jamii, ulinzi na usalama, siasa na…
Read MoreMhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa…
Read MoreMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango amekutana kwa mazungumzo ya faragha (Tete a tete ) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres katika Ofisi za…
Read More