News and Events Change View → Listing

New Permanent Representative of United Republic of Tanzania Presents Credentials

The new Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations, Modest Jonathan Mero, presented his credentials to UN Secretary-General António Guterres today.Until his appointment…

Read More

Jivunieni Utanzania wenu, jivunieni Kiswahili – Katibu Mkuu Mulamula

Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, amewaaga watanzania waishio nchini Marekani, kwa kuwataka kujivunia utanzania wao na kutoionea aibu lugha yao ya…

Read More

JK akabidhi ripoti ya jopo lake kwa Ban Ki Moon naye amshukuru

Mwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Kiafya, Rais Mstaafu, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, jana Jumatatu, amemkabidhi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, Ripoti ya…

Read More

Umoja wa Mataifa wamkumbuka na kuenzi mchango wa Boutros Boutros-Ghali

Jumuiya ya Kimataifa imemuelezea aliyekuwa Katibu Mkuu wa Sita wa Umoja wa Mataifa, Marehemu Boutros Boutros- Ghali, kama kiongozi ambaye siyo tu alifanya kazi katika mazingira magumu lakini pia alitoa mchango…

Read More

Tanzania yataka iachiwe fursa ya kupanga na kuchagua miradi ya maendeleo

Tanzania imetoa wito kwa washirika wa maendeleo yakiwamo Mashirika ya Umoja wa Mataifa kuiachia nafasi ya kupanga na kuchagua miradi yake ya maendeleo kwa kuzingatia vipaumbele vyake.Wito huo umetolewa na…

Read More

Tanzania yataka Umoja wa Mataifa kuzingatia misingi iliyojiwekea

Wakati Tanzania ikipongeza, kusifu na kushukuru uhusiano na ushirikiano wake na Umoja wa Mataifa kupitia Mifuko na Mashirika yake ya Maendeleo, imeutaka pia Umoja huo kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia,…

Read More

Tanzania kukumbwa na mafuriko ya El-Nino – Umoja wa Mataifa

Umoja wa Mataifa umetahadharisha kwamba Tanzania ni kati ya nchi kadhaa ambazo zinauwezekano mkubwa wa kukumbwa na mafuriko yatakayosababishwa na El- Nino.Kwa mujibu wa Taarifa ya Katibu Mkuu Msaidizi…

Read More

Idadi ya mabalozi wanawake katika Umoja wa Mataifa bado ni ndogo – Mogens

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jana jumatatu limeadhimisha miaka 70 tangu mkutano wa kwanza wa Baraza hilo ulipofanyika January 10, 1946 huko Westminister, London, Uingereza.Pamoja na kuzungumzia mafanikio na…

Read More