News and Events Change View → Listing

Mhe. Pindi Chana amkabidhi Raisi wa Baraza Kuu la Un tamko la kutokomeza ndoa za utotoni

Mtandao wa Kimataifa wa Wabunge kutoka Mabunge mbalimbali Duniani (PGA), umemkabidhi Rais wa Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mataifa Bw. Mogens Lykketoft, tamko la kukomesha ndoa za utotoni na za kulazimishwa kwa…

Read More

Marais wa mahakama za kimataifa za mauaji ya kimbari wampongea Mh. Raisi Jakaya Kikwete, Tanzania kwa ushirikiano

Wakati majukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ( ICTR) yakifikia ukingoni mwishoni mwa mwaka huu, hatima ya wafungwa waliomaliza vifungo vyao na wale walioachiwa huru bado…

Read More

Tunajitahidi kutekeleza sera na mipango ya maendeleo jumuishi -Tanzania

Ikiwa ni Wiki moja kupita tangu Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Dunia, kuhitimisha ushiriki wao katika mikutano muhimu mikuu miwili, upitishwaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo…

Read More

NGO ya Tanzania yanyakua tuzo la Umoja wa Mataifa

Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) ni kati ya Asasi 21 ambazo jana ( jumatatu) zimetangawa kuwa washindi wa Tuzo ya Ikweta (Equator Prize ) kwa mwaka 2015.Tuzo hiyo ya Ikwete…

Read More

Mkutano na.69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wamalizika kwa kishindo

Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, uliokuwa chini ya urais wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Bw, Sam Kutesa umefikia ukingoni siku ya jumatatu kwa kupitisha maamuzi ya kihistoria ambayo pamoja…

Read More

JK kueleza maendeleo kazi ya jopo analoliongoza

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya Juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Kiafya, anatarajiwa Ijumaa wiki hii, kueleza mbele ya wajumbe wa nchi wanachama wa Umoja wa…

Read More

Palestina kupepesha bendera yake makao makuu ya Umoja wa Mataifa

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jana Alhamis, limepitisha Azimio ambalo kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa Umoja huo, litaruhusu nchi ambazo siyo mwanachama kamili kupeperusha bendera yake katika Makao…

Read More

Mabunge yatakiwa kusimamia utekelezaji wa malengo mapya ya maendeleo endelevu

Maspika wa Mabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamemaliza mkutano wao wa Nne kwa kupitisha tamko ambalo pamoja na mambo mengine, linayataka Mabunge kuhakikisha yanasimamia na kufuatilia kwa karibu…

Read More